Vifurushi vya chuo

badsangu

Member
Joined
Nov 1, 2017
Posts
67
Reaction score
28
Ndugu na jamaa zangu polen na kazi naomba,samahan juuzi nikitumiwa sms na kampuni ya voda kuwa nimepewa ofa ya kutumia vufurushi vya chuo nikiwa sehem yoyote japokuwa sijajisajili na hiyo huduma na kwa msisitizo wameniambia hiyo ni ofa ambayo nimepewa mm tu.Sasa cha kushangaza kila nikijaribu kujiunga na menyu yao ambayo wamenitumia kabsa *149*42# lakin kila nikijaribu kujiunga inaniletea kabsa list ya vufurushi vyote vya chuo mwishon nikikamilisha kujiunga naambiwa huduma hii haipatikan kwa sasa jaribu tena badaye hiyo ilikuwa juzi leo napo wamenitumia sms nimejaribu kujiunga hali ni ile.kwa wajuuzi naomba kujuzwa nini tatizo? Mchango wako ni muhimu sana
 
Nadhani hiyo huduma sio kwa wateja wote, mimi hua najiunga lakini wananiambia ni ofa ya yakwangu tu, hivyo nadhani sio wenye namba zote wanaweza kujiunga mahali popote, nadhani ikiwa inakusunbua ni bora uende eneo la chuo
 
Hichi kifurushi kwa sasa sio dili tena kimepandishwa bei nilikuwa nanunua unit 500 kwa 500 ila sasa inabidi nikipate kwa 1000 ni bora nirudi halotel tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…