Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,802 Reaction score 9,281 Apr 14, 2011 #1 Mfilekile ni jina la Kinyakyusa, wao huwa wanafupisha na kuita Mfile. Mbwambo ndio mwisho wa yote, kule kwetu Tanga wenye jina hilo huipata fresh mtaani kwa kuitwa kwa kifupi. Mbwa au mbo.
Mfilekile ni jina la Kinyakyusa, wao huwa wanafupisha na kuita Mfile. Mbwambo ndio mwisho wa yote, kule kwetu Tanga wenye jina hilo huipata fresh mtaani kwa kuitwa kwa kifupi. Mbwa au mbo.