Vifupi na maana zake.

A. Anajua mapenzi,
B. Burudisho la moyo wangu,
C. Chukua kila kilicho changu,
D. Daima nitakuenzi,
E. Endelea kunipa raha,
F. Fanya utakavyo,
G. Gumzo kwa aipendae,
H. Hainitoshi nikiila,
I. Inanitia wazimu,
J. Jaribu uone,
K. Kimoja hakinitoshi,
L. Lamba kote kote,
M. Mahaba nimiminie,
N. Nipe mimi peke yangu,
O. Ongeza spidi honey,
P. Pipi ya kijiti tamu,
R. Romance kila idara,
S. Staki kuikosa
T.tamu zaidi kuinyonya,
U. Usijali walimwengu,
V. Vyote nakusabilia,
W. Waache waseme,
Y. Yananitoka machozi,
Z. Zamisha yote.
 
SAFARI--Sasa Angalia F.ala Anaagiza Round Ingine

KONYAGI---Kunywa Ongeza Nguvu Yafaa Angalia Gongo Inaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…