mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,970
Katika medani mbalimbali za siasa,biashara na mambo mengine,yapo majina ya kila aina ambayo hulenga kuwakilisha aina fulani ya watu,jumuia au jambo lililokusudiwa,majina haya mara nyingi huwakilishwa kwa vifupi ila kutokana na ubunifu wa binadamu maana hiyo hubadilishwa kukidhi mazingira waliyopo.
Hapa chini naanza,tafadhali endeleza.
STK-Serikali ya Tanzania Kimeo
DH-Dingi Hana uwezo.
Endelea>>>>>>>>>>>>>>
Hapa chini naanza,tafadhali endeleza.
STK-Serikali ya Tanzania Kimeo
DH-Dingi Hana uwezo.
Endelea>>>>>>>>>>>>>>