Vifungashio vya dagaa

Vifungashio vya dagaa

kokaumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
404
Reaction score
188
Wakuu naomba msaada wapi nitapata vifungashio ninavoweza kupack dagaa kutoka Tanga dagaa uono, wana dar huita dagaa mchele, watu wa bara dagaa nyama waliochemshwa ndipo wakakaushwa... Wapi hapa dar nitapata kwa bei ya jumla?? Visiwe vifuko vile vya nailoni...
 
Back
Top Bottom