Vifungashio vinauzwa

Vifungashio vinauzwa

Darasa Darasa Darasa
Darasa jipya litaanza tarehe 15/8/2017
Masomo yatakayofundishwa ni

1.Batiki
2.Sabuni ya kipande isiyotumia kemikali yoyote.
3.Sabuni za choo(Maji)
Masomo yote haya kwa gharama ya 10,000/= tu.
Lipia mapema ili uepuke usumbufu wa dk za mwisho.Namba ya malipo ni 0629683560. Na namba ya kutuma sms ya muamala wako ni ya whatsup 0713262188 ili uunganishwe darasani kwakuwa darasa ni la whatsup videos.
KARIBUNI SANA.
 
Ok.. Je, kuna uwezekano wa kuchagua masomo kati ya yale uliyowahi kuorodhesha awali, au ni lazima tu haya unayosema sasa?
 
habari mkuu, naweza kupata vifungashio (transparent) kwa ajili ya kuwekea karanga, na kwa bei gani?
 
Hello, Naomba bei ya vifungashio vya shampoo ml 250 pia naomba na bei ya print katika chupa moja ya ml 250.
 
Back
Top Bottom