Vifungashio vinauzwa

Unachotakiwa ww kutuambia unahitaji kifungashio cha aina gani na cha kuwekea nini sabuni,dawa,chakula,unga nk.then nitakupa bei kulingana na ukitakacho na hata kama umebuni aina ya kifungashio sisi tutakutengenezea utakacho
 
Vya juice vipo vya aina nyingi ila ni vema ukituma sample ili tusipishane ktk utengenezaji na pia ni lazima uniambie ujazo uutakao
 
Vya juice vipo vya aina nyingi ila ni vema ukituma sample ili tusipishane ktk utengenezaji na pia ni lazima uniambie ujazo uutakao
Viglass vile km anavyotumia mac juice unavijua? Ni Transparent na kifuniko chake kimepanda juu, alf kuprint jina munaprint bei gani? Me ninahitaji
 
Viglass vile km anavyotumia mac juice unavijua? Ni Transparent na kifuniko chake kimepanda juu, alf kuprint jina munaprint bei gani? Me ninahitaji
Screenshot_2017-06-09-12-16-22-1.png
 
Kwahiyo unafundisha nini??
Nielezee hiyo 3 in one ni nini na nini??
Kwa maana nina shida ya vifungashio lakini sijaelewa kabisa uzi wako
Mimi siyo mhusika mkuu!

Ila naona kuna huduma ya;
1.vifungashio.
2.elimu ya ujasiriamali.

Jaribu kutumia namba za simu zilizowekwa hapo ili upate huduma kama kweli unauhitaji wa huduma zao.
 
Mimi siyo mhusika mkuu!

Ila naona kuna huduma ya;
1.vifungashio.
2.elimu ya ujasiriamali.

Jaribu kutumia namba za simu zilizowekwa hapo ili upate huduma kama kweli unauhitaji wa huduma zao.
Tunakiwanda pia cha kutengeneza vitu hivi.
 
DARASA DARASA DARASA DARASA
Darasa la ujasiliamali linaendelea online hivyo tunakaribisha wanafunzi wa darasa jipya litakaloanza tarehe 25-6-2017 kwa njia ya whatsup, muda ni saa 2 usiku hadi saa 3:30 usiku.Hivyo jiandikishe mapema ili uunganishwe kwenye group la darasa. Ada ni 10,000/=online,Pia tunakaribisha vikundi vya wajasiliamali watakaohitaji kujifunza live ni kuanzia watu 20 na ada ni 20,000/=@ popote nitawafata,Malipo ni kwa halopesa na masomo yatakayofundishwa ni kama yafuatayo:

-Sabuni za urembo na dawa,
-Rotion za matunda asili kabisa,
-Jamu za matunda,
- Chill source,
- Mango picles,
- Wine ya ndizi.
Asanteni na karibuni.
 
/QUOTE]
Muda umekaribia kuisha karibu darasani kwa ujanja zaidi
 
Darasa jipya linaanza j3.
Yatakayofundishwa ni haya :-
1.Mafuta ya nywele,
2.Rotion ya tango,
3.Batiki ya mshumaa,tie&die na mkunjo
4.Mafuta ya mgando kupaka.
5.Sabuni ya maji ya choo.

Ada ni 20,000/= kwa kichwa. Vifungashio pia vinapatikana. Nipigie ili nikuunge ktk group la whatsup la darasa.0629683560.
 
Attachments

  • IMG_20170711_094448.jpg
    IMG_20170711_094448.jpg
    93.8 KB · Views: 173
  • IMG_20170703_181918.jpg
    IMG_20170703_181918.jpg
    157.6 KB · Views: 189
  • 1499757799415-696990459.jpg
    1499757799415-696990459.jpg
    80.6 KB · Views: 182
  • IMG-20170615-WA0002.jpeg
    IMG-20170615-WA0002.jpeg
    84.8 KB · Views: 181
Back
Top Bottom