hello,wana jf niko na furaha saana kujiunga na hili jamvi la wenye busara na wanaotaka kupunguza na hata kuondoa kabisa wale maadui wetu watatu (ujinga, umasikini na maradhi). Bwana MTAMBUZI umenipa kitu ambayo sijawai ipata darasani wala mtaani, hakika jf ipo juu. ukizingatia I am expected kuwa baba, so me and ma wife tutazingatia elimu hii ya bwelele.