moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,254
Jamaa mmoja akiwa amelala aliota ameokota mfuko kama ile ya kufungia sembe imejaa sarafu za shilingi mia mia, akaushika kwa juu akauziba kwa mikono akanyanyua kuanza safari, ile ananyanyua akagundua unatobo kwa chini hivyo sarafu zinavuja, akachomeka kidole ili kuziba tundu. Loo! Watu kuamka asubuhi wanakuta Jamaa kafa amejipiga loba na kidole kachomeka matakoni. Nawasilisha!