Vifo vimeongezeka sana kuanzia huu mwezi wa 4 chukua tahadhari

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,321
50,541
Wakuu kwa mtu makini anayechunguza mambo hawezi kubishana na mimi kwamba vifo vimekuwa vingi sana kwa huu Mwezi wa nne
Huu ni mfano tu
Jana nimepoteza ndugu zangu wawili wote walikuwa wagonjwa
Week iliyopita mwanafunzi mwenzangu amegongwa na treni amefariki
Mtaani kwetu kuna rafiki yangu Amefiwa na wapendwa wake wawili
Hio ni baadhi tu ya mifano ninayoishuhudia ya vifo vya haraka haraka
Bado pia kuna ongezeko la ajali
Sina nia mbaya ila najua wengi hilo suala wameliona
Nahisi kuna pepo baya sana linatembea kuchukua roho zetu
mshana jr pitia huku useme kitu. Bado tu huja observe hicho kitu
Tahadhari hii nawapa huku nikiendelea kuwakumbusha tu kwamba pale popote ulipo jiandae hali sio nzuri kwa kweli kuna kitu hakipo sawa
 
Sawa kwa waamini watubu na kutenda mema, wamuishi Kristo ambaye ni njia kweli na uzima
 
Mkuu

Huu uzi wako una kama ka ukweli flani hivi. Mwezi huu vifo vimekuwa vingi sana.
 
Back
Top Bottom