Vifaranga chotara

Mimi bado nipo nipo kwanza, h/shauri kuu ya kichwa changu ina kikao kwanza juu ya hili.
 
Reactions: Mom
kaka nitahitaji kama 50 ivi uko wp na ntakupataje, yaani arusha maeneo gani. ntakuwepo arusha mda c mrefu. je ntavipata vyote mara moja? au ni kwa kipindi flan ivi?
 
kaka nitahitaji kama 50 ivi uko wp na ntakupataje, yaani arusha maeneo gani. ntakuwepo arusha mda c mrefu. je ntavipata vyote mara moja? au ni kwa kipindi flan ivi?

utapata wote mkuu
 
kaka nitahitaji kama 50 ivi uko wp na ntakupataje, yaani arusha maeneo gani. ntakuwepo arusha mda c mrefu. je ntavipata vyote mara moja? au ni kwa kipindi flan ivi?
kampuni yetu ipo tengeru kwa fundi
 
Bwana Kitomari nakufahamu vema sana, nilishakuja kwako miaka miwili iliyopita mkuu kwania ya kununua vifaranga na ukaniambia mpaka kwa oda. Ilikuewa ni vifaranga vya kawaida tu! Naona sasa umeendelea zaidi! Wakati ule ulikuwa ukiuguza majeraha baada ya kuvamiwa na majambazi! So ni kweli unachosema naamini thread hii ni ya kweli wanajamvi!!!!!!
 
ni kweli karibu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…