Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,531
- 2,057
Shamba lenu la ufugaji na uuzaji wa vifaranga chotara tumerudi tena kuwaletea vifaranga bora zaidi wa kuku chotara.
Kuku wetu ni wazuri sana, wanahimili magonjwa, watagaji wazuri wastani wa mayai 300 kwa mwaka, na hifikia mpaka kilo 3.5 za uzito.
Tunapatikana Bahari beach. Bei ya box la vifaranga 100 ni shilingi 180,000. Tuwasiliane kwa nambari 0755815174.
karibuni wote katika ufugaji