Vifaa vya usalama vya electronic kutoka Isecure

usalama kwanza

JF-Expert Member
Oct 3, 2012
386
158
Napenda kutambulisha kwenu kampuni ya Isecure technology inayojihusisha na mitambo ya kisasa ya kielektroniki ya usalama majumbani, ofisini , viwandani, godowns, mashuleni na sehemu yeyote ambayo usalama ni jambo la muhimu.

Isecure technology ni kampuni yenye uzoefu na mitambo mingi ya kisasa ya kiusalama , tunafanya ufungaji wa alarm systems, cctv cameras , fire alarms, ,access control systems, car tracking systems , automatic gates, electric fence . Tunao mafundi bora kabisa katika fani hii wenye uzoefu wa muda mrefu

Kwanini ufanye kazi na sisi

i) Kufanya kazi na sisi ina maana unauhakika wa kufungiwa mitambo sahihi ya kiusalama na mahali sahihi. Hii inamaanisha utakuwa una uhakika na usalama wa mali zako.

ii) Tunauzoefu wa muda mrefu katika kazi tunafanya kazi zetu katika mahoteli , godowns , mabenki , pharmacy , mashule , majumba ya watu ubinafsi hivyo tunakuhakikishia kazi iliyo bora na yenye viwango.

iii) Unaokoa gharama . Gharama ya kuweka mitambo ya kielectroniki inaweza kuonekana ni jambo la gharama sana ilihali kwa mtu binafsi unaweza weka mitambo ya kielectronik kwa kuanzia kiasi cha shilingi laki tano na wale ambao wana ofisi ndogo ndogo pia wanaweza fungiwa kwa gharama chini ya hapo. Vifaa vya usalama huongeza ufanisi wa kazi na kupunguza ubadhirifu wa mali.

iv) Tutakupa ushauri wa vifaa gani vya usalama vitakavyo kufaa kutokana na mazingira ya eneo lako.

N.B . kwa wale ambao mitambo yao ya kiusalama kwa hali moja au nyingine baada ya installation imeshindwa kufanya kazi au wameshindwa kuziseti ziweze kufanya kazi tupo tayari kukusaidia kumalizia kazi hiyo kwa uhakika, naomba tukutane hapa hapa kwenye uzi huu kwa maswali, mahitaji na maelezo ya mitambo mbalimbali ya kielectroniki kwa ajili yako.

Tuwasiliane : 0714890018
email: justine@isecuretec.com
 
Karibuni mjipatie alarm na tracking system bora zaidi tanzania. Hivi karibuni nitatangaza ofa kwa ajili ya vifaa vya usalama majumbani, maofisini na tracking system . Nipigie 0714890018 kwa maelezo zaidi
 
Inawezekana una gari lako zuri na unalolipenda na ungependa liendelee kudumu na kukuletea matokeo mazuri ukiwa barabarani basi sisi ISECURE technology tunakuletea tracking technology mpya yenye uwezo wa kugundu mapungufu/ugonjwa/matatizo ya gari lako .

Technology yetu itakusaidia kujua matatizo ya gari yako punde tu yatakapokuwa yanaanza ili uweze kabiliana nayo mapema kabla hayajawa makubwa, Faida ya kifaa hiki ni kuwa utaweza

i) Kujua ufanyaji kazi wa enjini ya gari lako na kama ina matatizo yoyote

ii) itakupa ripoti kama sensa katika gari lako litafanya kazi

iii) Utajua ufanyaji kazi wa gari lako.

iv) Itakusaidia kujua tatizo la gari na kulitibu kwa usahihi hivyo kupunguza gharama za mafundi vifaa na marekebisho yasiyo na lazima

v) jotoridi la gari, mafuta



Siku zote tunajitahidi kukupa huduma zaidi hivyo kifaa hiki kitakupa uwezo zaidi kama,

a) Kuweza kujua gari lako lilipo

b) Kuchagua ni eneo gani gari lako linaweza lifike au lisifike

c) Kujua kama gari lako limewashwa , limezimwa au kufunguliwa milango

d) Kujua matumizi ya mafuta ya gari lako na kama kuna wizi wa mafuta.

e) Kujua mtikisiko wowote ulilopata gari lako

f) kujua speed ya gari lako na mengineyo mengi



Nani anaweza weka tracking device hii

1. Mtu yoyote anayemiliki chombo cha usafiri hasa gari , iwe gari kubwa au dogo , pengine hata chombo kingine cha usafiri kama trekta, excavator , pikipiki

2. Kampuni yoyote au Makampuni yanayofanya bishara ya usafirishaji, kifaa hiki kitakusaidia katika utunzaji wa gari lako na kuzuia wizi wa mafuta

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714890018
 
kwa huduma bora za vifaa vya usalama vya kisasa kama electric fence, cctv camera, Automatic gates, car tracking systems, Intruder alarms, fire alarms , Access control system tupigie 0714890018 .
 
kwa huduma bora za vifaa vya usalama vya kisasa kama electric fence, cctv camera, Automatic gates, car tracking systems, Intruder alarms, fire alarms , Access control system tupigie 0714890018 .
 
kwa huduma bora za vifaa vya usalama vya kisasa kama electric fence, cctv camera, Automatic gates, car tracking systems, Intruder alarms, fire alarms , Access control system tupigie 0714890018 .
 
Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Fire alarms systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems
 
cctv camera.jpg
 
Ungeweka na gharama zake
kwa car tracking system bei ni laki 3 , lakini kwa systems zingine bei inabadilika kutokana na mazingira ya eneo , mahitaji ya mteja, wingi au uchache wa vifaa aina ya vifaa . Kama utahitaji kitu chochote nipigie simu kurahisisha mawasiliano.
 
Back
Top Bottom