unapatikana mkoa gani kaka?,check me on pm.Habari wana jamvi, napenda kuwatangazia soko la vifaa vya stationery ambayo nimeifunga muda si mrefu kuna lamination machine, binding machine, na vifaa vinginevyo vingi..kwa mwenye interest tafadhali ni PM..tuongee biashara/tuendelee na taratibu nyingine.
Eeh Desktop Laki Nne!
Zipo hata za zaidi ya laki nne mkuu,,,
Ila sasa kwa hiyo yenye specification kama ya huyu jamaa kuuzwa Laki 4 duuh,,
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriKuna Desktop HP windows xp full set 400,000/-
-HDD 80GB
-RAM 512
HP Inkjet Printer
HP F2280 ALL IN ONE Photo Printer 200,000/-
HP PSC 2355 ALL IN ONE Photo Printer 400,000/-
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriZipo hata za zaidi ya laki nne mkuu,,,
Ila sasa kwa hiyo yenye specification kama ya huyu jamaa kuuzwa Laki 4 duuh,,
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriEeh Desktop Laki Nne!
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriNi matumaini yangu kuwa mko poa na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku.Ndugu zangu samahani nitafuta ream paper A4 iwe rotarim au mondi.pia nahitaji toner original na kwa bei nafuu for photocopy machine 2318
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizurihivyo ndo vifaa vya "stationary"?!, nilidhani ni -stationery au kwa kimatumbi"SHAJALA"
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriHabari wana jamvi,
napenda kuwatangazia soko la vifaa vya stationery ambayo nimeifunga muda si mrefu
kuna lamination machine, binding machine,
na vifaa vinginevyo vingi..kwa mwenye interest tafadhali ni PM..tuongee biashara/tuendelee na taratibu nyingine.
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriunapatikana mkoa gani kaka?,check me on pm.
Bado vipo?Habari wana jamvi,
Napenda kuwatangazia soko la vifaa vya stationery ambayo nimeifunga muda si mrefu
kuna lamination machine, binding machine na vifaa vinginevyo vingi.
Kwa mwenye interest tafadhali ni PM, tuongee biashara/tuendelee na taratibu nyingine.
Spiral binding bei gani?eeh vipo vinakusubiri wewe mkuu!