Hahaha la kwangu ndio😄Herry hilo paja ni lako???
Kodi ni 30K kwa mwezi, Kwa week nlikua nachukua 50K kwa kinyozi wanguKodi ulikuwa unalipa bei gani?je mzunguko wa wateja ukoje?
Ngoja tucheki wadau...Habarini ndugu zangu.
Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi.
Saloon ina:
1. Kiti cha kukalia anaenyolewa 40K
2. Kiti cha kukaa wateja wa 3 wanaosubiri kunyolewa 80K
3. Mashine mbili za kunyolea Moja 50 Nyingne 80K
4. Vioo viwili vikubwa (mbele na nyuma) Kila kioo ni 120K
5. Mlango mzuri wa Alminium 220K
4. Vitambaa viwili vya kumfunikia mteja (Bure)
5. Feni (Bure)
6. Vitu vingne (Dustbin, fagio, tools za mashine n.k) vyote ni bure
Ukichukua vyote kwa pamoja nahtaji 500K tu.
NB: Hakuna dalali, muhusika ni mm mwenyewe.
Karibuni.
Mawasiliano: 0783 242247View attachment 2436565View attachment 2436568View attachment 2436569View attachment 2436570
hv na nyie huwa mnasisimka kwa vitu kama hv?🙌😂😂😂Waja tumeona paja[emoji28][emoji28]
Herry hilo paja ni lako???
🙄Waja tumeona paja[emoji28][emoji28]
uhh saana tu hasa mguu ukiwa umeshiba kiume[emoji28]hv na nyie huwa mnasisimka kwa vitu kama hv?[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Viti ungeweza na picha pia ingependezaHabarini ndugu zangu.
Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi.
Saloon ina:
1. Kiti cha kukalia anaenyolewa 40K
2. Kiti cha kukaa wateja wa 3 wanaosubiri kunyolewa 80K
3. Mashine mbili za kunyolea Moja 50 Nyingne 80K
4. Vioo viwili vikubwa (mbele na nyuma) Kila kioo ni 120K
5. Mlango mzuri wa Alminium 220K
4. Vitambaa viwili vya kumfunikia mteja (Bure)
5. Feni (Bure)
6. Vitu vingne (Dustbin, fagio, tools za mashine n.k) vyote ni bure
Ukichukua vyote kwa pamoja nahtaji 500K tu.
NB: Hakuna dalali, muhusika ni mm mwenyewe.
Karibuni.
Mawasiliano: 0783 242247View attachment 2436565View attachment 2436568View attachment 2436569View attachment 2436570
Yah vipo Unataka kipi?Bado vipo hivi vifaa