Vifaa vya salon ya kiume used vinatafutwa

Vifaa vya salon ya kiume used vinatafutwa

jobi

Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
8
Reaction score
1
Hi guys,
Nipo Dodoma, natafuta vifaa vya salon ya kiume used kwa being nzuri, vifaa hivyo ni viti 2, machine 2 za kunyolea, na vioo viwili. Kwa mwenye navyo naomba ani pm.
 
Back
Top Bottom