vifaa vya salon vinauzwa

vifaa vya salon vinauzwa

amina paggy

Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
37
Reaction score
1
vifaa vya salon vinauzwa,dryer 3 kila moja sh laki moja na nusu,wasiliana nami 0657690970,vipo maeneo ya tabata bima
 
vifaa vya salon vinauzwa,dryer 3 kila moja sh laki moja na nusu,wasiliana nami 0657690970,vipo maeneo ya tabata bima
Kwa nini usiseme kifaa? Owk, hebu nimcheck nyumba ndogo kwanza. Akiridhia ntakutafuta.
 
Kwa nini usiseme kifaa? Owk, hebu nimcheck nyumba ndogo kwanza. Akiridhia ntakutafuta.
sijui ulisoma kiswahili wapi?ningekuwa nauza dryer moja ningesema kifaa lakini kwa kuwa zipo 3 nimesema vifaa,usichangie kitu bila kuwa na unafahamu wa kutosha .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom