occipito-frontalis
Senior Member
- May 28, 2017
- 134
- 71
Hi, jamani naomba kujua duka la vifaa vya maabara za binaadam linalouza kwa bei nafuu na imara kwa hapa Dar es salaam
Shukran, jina unalikumbukaNenda kko, barabara ya uhuru kama unaenda m/moja tokea Round abt ya zamani Msimbazi upande wa kulia mtaa wa nyuma yake kuna maduka kibao
Shukran, jina unalikumbuka
Asante nduguYapo maduka mengi mtaa huo
Poa mkuuAsante Sana