Vifaa vya kupaa samaki

Vifaa vya kupaa samaki

jndibo

Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
18
Reaction score
2
kifaa cha kupaa samaki. Usisumbuke tena kapaa samaki wako kwa kutumia kisu na kukupotezea muda wa kupika. bei 15,000..piga 0718520552..Tupo Magomeni-dar..mkoani tunatuma

14925382_1269196313143134_4445696362889744834_n.jpg

14908419_1269196266476472_2837042541496123086_n.jpg

14910415_1269196219809810_765578547285988675_n.jpg
 
Mkuu tudude cha sh 3000/= wewe unataka kutupiga 15K!!???
 
Mkuu awamu hii watu hawapendi mchezo mchezo, hiyo bei unaweza kujikuta usipate mteja hata mmoja.
 
15!!! Duh... Kinatoa na samaki chenyewe ama kidude tu????
 
Hivi ni kweli hela imekuwa ngumu au watu mmekuwa makini tu na matumizi????

Watu wamekuwa wachaga automatically, hahaaaaaa
 
JPM Alishakataza mambo ya udalali.. tufanye kazi jamani lasivyo Pesa tutaisikia kwenye Bomba tu!!!!!
 
Mkuu awamu hii watu hawapendi mchezo mchezo, hiyo bei unaweza kujikuta usipate mteja hata mmoja.
Nishauza si chini ya kumi mpaka muda huu navyokoment hapa,,,,mara nyingi mnao diss sio wahitaji,,si ajabu ata kupika hupiki ila maneno mengi
 
Hivi ni kweli hela imekuwa ngumu au watu mmekuwa makini tu na matumizi????

Watu wamekuwa wachaga automatically, hahaaaaaa
hahaha hao wanakula kwa wachoma chips hawajui vifaa vya jikoni
 
Back
Top Bottom