Kaina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 380
- 326
- Thread starter
- #21
Ahsanteni wadau. Naona tu.mmeandika mengi kujitahidi kupush uzi uwe mrefu kama wa mapenzi! Mara zote wenye maneno jamvini hamnagana la maana in terms of actions. Kati yenu nyote hapo hakuna mnunuzi kazi umbea kujionesha mnajuua. Ndo maana sikuweka unigate PM wala nini maana nawajua nyie wapenda sifa mngemwagika kibao. Kwa namba ya cm nimewaweza coz mpaka inapiga lazima uwe serious. On top of that poleni kwa muda mlioupoteza. Waliokuwa serious wamejitokeza na tushaclose deal mzigo wote ulinunuliwa jana. Mimi mwenyewe mwenye biashara nimemaliza sasa nyie washadadiaji nawaachia uzi muendelee kupeana umbe watoto wa kike. Kazi kwenu