Shukrani mkuu..Recording mic, audio interface (sound card), computer, nearfield monitors (speaker), headphone, microphone stands, pop filter, reflection filters na MIDI controller (keyboard),
Sent using Jamii Forums mobile app
homgera mkuuRecording mic, audio interface (sound card), computer, nearfield monitors (speaker), headphone, microphone stands, pop filter, reflection filters na MIDI controller (keyboard),
Sent using Jamii Forums mobile app
Zina matumizi tofauti kidogoMixer ni tofauti na sound card?
Kabla sijakujibu. Una uelewa wowote kuhusu beats na mixing?Mic nzuri inaanzia bei gani mkuu?
Fanya kazi nyingine. Hiyo studio itakutia hasara zaidi ya kishindo cha awamu ya tano. Unless kama una mtaalamu atakayeifanya hiyo kazi.Hapana mkuu..