Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako?
💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI
Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡
ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa vifaa bora na salama vya umeme mkubwa na mdogo.
Kutoka Kampuni zote mahiri kama vile; ABB, TRONIC, SCHNEIDER, AFRICAB, E. AFRICA N.K.
Tunauza vifaa vyote vya umeme wa:
Majumbani
Viwandani
Minara
Visima (pump, Motor n.k)
Generators, compressors na Tools mbali mbali