Wakuu za mchana? Niombe kuuliza wapi naweza kupata vidonge vya Giseng kwa hapa Dar. Sina maelezo ya kutosha ya hii bidhaa, ila kwa kifupi nimeona katika vyanzo mbalimbali kuwa inaboresha mifumo yote ya mwili.
Kwa anayejua kuhusu upatikanaji wake, bei na uzoefu tunaweza kupeana updates hapa.
Sent from my SM-A6050 using
JamiiForums mobile app