Vidonda Vya Tumbo + Typhoid + kikohozi

Kiramamoshi2019

Kiramamoshi2019

New Member
Joined
Jun 12, 2019
Messages
1
Points
20
Kiramamoshi2019

Kiramamoshi2019

New Member
Joined Jun 12, 2019
1 20
Nahitaji Kujua Dawa Zitakazo nisaidia Kutibu haya Magonjwa niliyonayo Nimeenda Hospitali Kupima Nikakutwa wadudu wa H pylori,Typhoid Vile nina Kikohozi Baada ya Hapo Daktari Ameniandikia Esomeprazole,Metronidazole(Flagyl) Pamoja na Ciproflaxin hii ina maana Anatibu Haya Magonjwa Yote kwa wakati Moja .....Je Ni sahihi kwa Hizi Dawa nilizo andikiwa....????
 
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Messages
2,181
Points
2,000
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2017
2,181 2,000
Duuuh mi nlikuwa na madonda ya tumbo usiku silali lakini nimefunga mwezi wa ramadhan,Baada ya mwezi kuisha naona sina tena tatizo kabisa, na najihisi nimepona.Ndo nimeamini kuwa funga kweli ni Tiba pia
 
cyrustheruler

cyrustheruler

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Messages
1,897
Points
2,000
cyrustheruler

cyrustheruler

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2015
1,897 2,000
Metrinidazole itakunyoosha sana aliyegundua hiyo dawa haendi mbinguni
Nahitaji Kujua Dawa Zitakazo nisaidia Kutibu haya Magonjwa niliyonayo Nimeenda Hospitali Kupima Nikakutwa wadudu wa H pylori,Typhoid Vile nina Kikohozi Baada ya Hapo Daktari Ameniandikia Esomeprazole,Metrinidazole Pamoja na Ciproflaxin hii ina maana Anatibu Haya Magonjwa Yote kwa wakati Moja .....Je Ni sahihi kwa Hizi Dawa nilizo andikiwa....????
 
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Messages
624
Points
500
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2016
624 500
Dawa ni saw mkuu kabisa sema Fanya kutafuta dawa strong zaid ya kutibu kifua na hapo kweny vidonda kuwa makini na muda wako wa kula uwe ule ule na epuka pilipili na vyakula vya asidi

Ukitaka taarifa zaidi nicheki PM, humu wajuaji wengi.
 

Forum statistics

Threads 1,303,524
Members 500,948
Posts 31,484,557
Top