chacha mwewe
Member
- Sep 23, 2016
- 54
- 28
Dawa nilizotumia mwanzo in Betadine ya kusukutuwa haikusaidia nikatumia amoxicilin na ibuprofen pia haikunisaidia nikaenda hospital wakaniandikia omnicef, Budinude , levozal pamoja na orastn ya spry pia sijaona mabadilikoAseme ametumia dawa gan ili aweze kusaidiwa kusrma dawa nyinhi haitoshi aina ya dawa alomeza aseme
Sidhani kama ndio sababu maana sijazama chumvini mda mrefulabda una fungus za koo... na kama unatabia ya kufanya oral sex ukienda hospital waambie ukwel watakusaidia
Nilienda hospital lkn bado vidonda havipoiMkuu nenda hospital usifanye mchezo afu hapa hutopata msaada badala yake utapata matusi tu moja wapo likiwa ukome zama chumvini nenda kafanye vipimo vikubwa mana unaweza kuta umeenda dispensary unasema hospital afu 4 months mbona ni mingi sana aseh
Mkuu labda wadudu walikuwa wanajinafasi hukuchukua serious okey pole mkuuSidhani kama ndio sababu maana sijazama chumvini mda mrefu
Onana na ENT specialist watakusaidiaNilienda hospital lkn bado vidonda havipoi
Nilionana na specialist lkn sijaona mabadiliko mkuuOnana na ENT specialist watakusaidia
Kweli mkuu nimeshanza kuhisi mdomo wangu unatoa harufu mbaya wacha nitarudi hosptali niombe mungu nipate tibaPole sana huo ugonjwa usiufanyie masihara mzee wahi hospitali mapema ukafanyiwe 'operesheni'. Nimewahi kusikia huo ugonjwa ukiwa sugu hata kuongea na watu itakuwa shida kwako maana mdomo utakuwa unatoa harufu kama choo.
Better option ni kwenda hospital, ila unaweza kuanza kwa a kutumia pen v tablets 1gm three times a day kwa siku mbili,then kuanzia siku ya tatu tumia 500mg three times in a day kwa siku 5,Tumia pia olfen tablet 75mg kutwa mara mbili kwa siku 5.Unaweza kuongeza na Medioral solution kwa kusukutua kinywa.Natumai muwazima nyote,nimekuwa nikisumbuliwa na vidonda vya koo kwa mda wa miezi 4 nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio na ilianza kama mafua lkn kwa naona vidonda vinazidi kutapakaa kwenye tissue ya koo naomba dr munisaidie,hospital nimenda lkn bado naumwa.
Shukrani mkuuBetter option ni kwenda hospital, ila unaweza kuanza kwa a kutumia pen v tablets 1gm three times a day kwa siku mbili,then kuanzia siku ya tatu tumia 500mg three times in a day kwa siku 5,Tumia pia olfen tablet 75mg kutwa mara mbili kwa siku 5.Unaweza kuongeza na Medioral solution kwa kusukutua kinywa.
Shukrani mkuu kwa mchango wakoHuenda vidonda vyako vikawa ni maambuz ya virus bacteria au fangas
.
Kwa vinatokea kwa maambuz ya virus huwa vinapona vyenyew na havihitaj dawa zaid ya ant pain
.
Vinavyotokana na bacteria hv huwa severe na vinachkua mda sana kupona na vinahitajoli antibiotic ili vipone kabisa... Kutokuvitibu vikapona kabisa vinaweza kukusababishia shida kwny moyo (rheumatic heart disease)
.
Vinavyotokana na fangas ni Mara chache sana kutokea
.
Kuna ambavyo vinaanzishwa na fangas au virus lkn bacteria wanakuja kuvamia baadae na kufanya hali kuwa mbaya zaid
.
Kuwa na kiungulia mara kwa mara pia inaweza kusababshwa na ile tindikali ya tumbon inayopanda kooni
.
Dalili ya saratan ya koo inayoletwa na human papiloma virus wanaoambukizwa kwa njia ya kuzama sana chumvin na longterm smoking habit
.
Uzoefu wng unaniambia utakuwa na maambuz ya bacteria yaliozuka baada ya virus/fungas na kwakuwa umeshatumia dawa kadhaa pasipo mafanikio hvyo nakushauri utumie dawa zaid ya moja kwa muda usiopungua siku14
.
Antiseptic mouthwash d1-d14
Septrin d1-d14
Azithromycin 500mg d1-d7
Nystatin (p.o) d8-14
d=(day/siku)
.
Nina uhakika 90% utapona na usipopona nenda kwny hospitali yenye competent pathology laboratory wakuchkue sample wakapime
Una maambukix ya kinywaNatumai muwazima nyote,nimekuwa nikisumbuliwa na vidonda vya koo kwa mda wa miezi 4 nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio na ilianza kama mafua lkn kwa naona vidonda vinazidi kutapakaa kwenye tissue ya koo naomba dr munisaidie,hospital nimenda lkn bado naumwa.