Vidonda vya homa ya usiku katika mdomo(lip) wa juu.

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,314
760
Wana jf nina mwanangu ana tatizo la kutokwa na vidonda vya homa ya usiku katika mdomo wa juu(mouth upper lip), japo hujitokeza kwa muda ila hujirudia baada ya muda mrefu. Kwa aneyefahamu anisaidie tiba ya kudumu.
 
Hiyo ni simple herpas. Virus hivyo vipo tu mwilini tu, huibuka pale kinga inaposhuka! So mecheck malaria au infection zingine zinazopelekea kushake kinga yake!

Ni virus havina tiba, hizo sores hukauka zenyewe.
 
ndio kama alivyosema mkuu hapo juu hiyo ni herpes simplex, huisha yenyewe sio lazima sana kuitibu, ila ukitaka kuzuia isijuridie rudie mpake antiviral cream kama "zovirax" pale tu akianza kujikuna (kabla ya vipele kujitokeza)
 
Nashukuru kwa maelekezo yenu, ila kwa anayefahamu Pharmacy inayouza hiyo Antiviral Cream 'zovirax' hapa Arusha anijuze. Asante
 
Hiyo dawa inapatikana pharmacy zote tu. Zingatia lishe ya huyo kijana. Apate matunda ya kutosha na juisi kadri inavyowezekana. In my view, hahitaji soda kabisaa, badala yake apate natural fresh juice na vegetables. Alale muda wa kutosha na jaribu kuangalia kama ana stress.
 
Nashukuru kwa maelekezo yenu pia suala la matunda nitalizingatia ila la stress hana kwani ni binti wa miaka 13 and was so charming.Asanteni sana.
 
Trust me, it is so stressful to be 13! Kama hamjaanza kuongea nae muanze kuchanuka kwake sasa. Ni umri very confusing.
Nashukuru kwa maelekezo yenu pia suala la matunda nitalizingatia ila la stress hana kwani ni binti wa miaka 13 and was so charming.Asanteni sana.
 
Dah! Sasa wakuu mi vimenipata and im above 25! And u r saying vinatokea kinga ya mwili inaposhuka......im very confused basing on that ipso facto!!
 
Wana jf nina mwanangu ana tatizo la kutokwa na vidonda vya homa ya usiku katika mdomo wa juu(mouth upper lip), japo hujitokeza kwa muda ila hujirudia baada ya muda mrefu. Kwa aneyefahamu anisaidie tiba ya kudumu.

ana umri gani mtoto taja umri tumsaidie au nitafute
 
Back
Top Bottom