Habari zenu wadau wapendwa wa JF?
Naombeni msaada was ushauri was kitabibu tafadhali
Mpaka hivi leo ni zaidi ya week moja na ziada nimekuwa nikipatwa na maumivu kwenye koo especially nikiwa nameza mate, kula chakula kama vile mchele au kitu chochote chenye kukwaruza huwa kinanpa maumivu ambyo nahisi kama kuna vijidonda kwenye koo yangu ambvyo vinatoneshwa na vyakula hivyo
Kwa yeyote anayefahamu sawa either za asili au artificial kwangu yote kheri ili mradi nipone 2 maana sikifurahii chakula sasa.