Videos & Audio production special thread (Softwares)

Miaka yote mmekuwa niki edit sauti kwa cool edit, kwangu ni nyepesi sana thou it looks kind of old fashioned, naomba alie na tofauti na cool edit ila nyepesi kama ilivyo cool edit anisaidie jina
 
Haka kauzi kangekuwa kana enda na link za hizo software ingekuwa poa sana
 
Ok kuna kitu kinaitwa latecy
Pia nataka nijue unatumia sound driver gani. Kama ni native au ASIO for all

Inawezekana pc yako ikawa na Ram ndogo. Hii husababisha milio fulan
 
Kuna uwezekano wa kutoa beats( i mean drums or any other instruments) kwenye music? Kama kuna application ya kufanya hivyo plZ nijuze
Utaangaika sana ila kuna plugins zinajaribu but no 1 perfect. Jaribu kutumia Virtual DJ ina iyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…