Adobe gani?Naje wakuuu key yangu ya adobe csc6 imeliwa asee. Naomba mwenye NATO anipatie
Kwanini usitumie za kawaida kama wenzako ?wakuu msaada Wa mambo mawili..
1.anayeweza kunifundisha Kurekod audio kwa fl studio ...tuwasiliane..
2.na msaada Wa software rahis ya kuedit videos
kama lipo group la mambo ya audio production naomba mniad..
0688 990 975
unavo instal zilocate kwenye folder la vst kule kwenye program file au folder la image line tafuta vst folder,wakuu salam.
mi nime install vizur kabsa purity na nexus kwnye machine yangu lakn nkienda kweny fl sizikuti kabisa, hadi nafanya "scan and verify" lakn bdo hazionekani kwnye list! nimejaribu week nzima mpaka nimechoka, nifanyaje au nazikuta wap?
upo wapiHabarini wakuu humu ndani?
Naomba mwenye software ya Corel studio X6 au x5 kwa ajili ya kueditia video, aliye nayo Pm Tafadhali.
Download winamp pro ama n7player pro, hutojuta!Wakuu mi naomba kujuzwa audio player nzuri (best)ya kudownload ili kuitumia kwenye simu yangu kuplay some audio
nimekusms leotuwasiliane mkuu 0717148051
mi pia ni miongoni mwa beat makers. Sijui chochote kuhusu upigaji wa piano wala guiter ila kwa experience yangu ya usikilizaji mziki naweza nikanyoosha keys na ikatoka beat.Unaweza kutengeneza beat bila kujua kupiga chombo chochote, ila angalau uwe unaujua Muziki kwa maana ya Codes, Keys, Harmony, Flat codes ama keys n.k, angalau utakua beat maker (Sio producer) mzuri!
nyingi sana,uzuri wake unachotaka kufanya ndicho itakachofanya. unaweza kumfanya mtu awe na macho yanayowaka,kumkata kichwa,kutengeneza radi,bomu,mvua n.kMie nisaidieni kwenye after effects.....kazi za effects zake baadhi zinafanya effect gani?
Jifunze mziki sasa mkuu! Bongo shule chache ila unaweza kujifunza hata online, Kuna vitu huwezi kufanya japo mwenyewe unasema unanyoosha keys, Keys sio ya kunyoosha, hainyoosheki, labda unaweza kunyoosha Melody, Keys tunasema ni ufunguo wa sauti Tu!mi pia ni miongoni mwa beat makers. Sijui chochote kuhusu upigaji wa piano wala guiter ila kwa experience yangu ya usikilizaji mziki naweza nikanyoosha keys na ikatoka beat.
Tatizo moja kubwa ni kwamba hunichukua muda mwingi kuweza kukamilisha beat moja.
Ofcoz ni melodies, ntajifunza mzee si unajua nafanya kama hobby!Jifunze mziki sasa mkuu! Bongo shule chache ila unaweza kujifunza hata online, Kuna vitu huwezi kufanya japo mwenyewe unasema unanyoosha keys, Keys sio ya kunyoosha, hainyoosheki, labda unaweza kunyoosha Melody, Keys tunasema ni ufunguo wa sauti Tu!