Video za kibongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video za kibongo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Jan 8, 2012.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  jana nilikuwa nikiangalia kipindi flan clouds tv wakionesha msanii flan akitengeneza video ya wimbo wake.
  Nilicho gundua ni siri ya kwanini video za bongo ni mbaya.
  Kwanza wanakuwa hawaja jiandaa. Ideas wanazpatia location na wanakuwa hawakufanya mazoez ya kitu watakacho enda kufanya.
  Pili washiriki wa hiyo video wanaitwa tu njooni nafanya video mnipe kampani hivyo basi kila mtu anavaa apendavyo ili mradi aonekane atakavyo.
  Na tatu washiriki wengine wana chukuliwa tu hapo hapo location kati ya wale wanao shangaa shangaa.
  Nne wengi wa ma producer na ma director hawakusoma kazi wanafanya vitu kwa mazoea.
  Tano vifaa wanavyo tumia ni duni.
  KWA MWENDO HUU BADO SANA
   
 2. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahhaaaaaaaaaaaa ndio waliona hilo leo jamani.......
  :focus: yani sisi bado sana yani mnoooooo mana sisi tunawachukua watu kwa usuperstar wake na kumuweka ktk video yako au movie bila kuangalia kipaji bali unaangalia kwakua watu wanamjua sana ivo nitauza na wakati wenzetu wanaaangali vipaji huku hata kama we ni superstar huku huna kipaji hujachukuliwa popote kucheza movie ya mtu
  labda uchukuliwe kama wale washangaaji tu na pia hua wanalipwa pesa ndefu pia ........sio tz ukimuita mtu kua njoo hata kama humlipi mradi anaonekana ktk tv basi yy hajali mda atakaopoteza na ww location......kingine kwa sababu ya ushamba hata usipowaita ukisimama tu na kuanza kushoot wanakuja watu wanajazana kibao so huna haja ya kuwaita mana hua wanakuja wenyewe kushangaaa
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni kweli amina, yani sisi tunafanya vitu ili mradi tumefanya na watu wako conservertive hatubadiriki.
  Na tatzo lingne hawapendi kushaurika
   
Loading...