zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
Yanga hamta panda ndege labda mpaka mwaka 2014 labda mpande mkiwa mnaenda kagera kucheza na Kagera sugar...hahahahah
Haijarishi hata kama tutapanda ndenge mara tatu nakupeperusha mbendera ya nchi yetu poa tu siyo nchi mashindano ya nyumbani tu mna payuka...Unaonyesha jinsi ulivyo mshamba! Kupanda ndege ndo umeona ujaaaaaaaaaaaaanja! Mbona Atletico wamekuja na basi toka kwao Burundi nao ni mabingwa wa nchi yao! Tuone hicho kitimu chako cha wanamuziki toka DRC kama kitapanda ndege mara ngapi safari hii!
BTW, una habari kuwa Mbiyavanga Nkanu na Lino Musombo wamehamia FM Academia kwenda kunengua?
Okwi anarudi kiama chenu kipo pale pale na safari hii kwasababu mmechonga sana tuna wapiga wiki na huyo fisadi wenu manji...
Na Sunzu atawafuata huko FM Academia.Unaonyesha jinsi ulivyo mshamba! Kupanda ndege ndo umeona ujaaaaaaaaaaaaanja! Mbona Atletico wamekuja na basi toka kwao Burundi nao ni mabingwa wa nchi yao! Tuone hicho kitimu chako cha wanamuziki toka DRC kama kitapanda ndege mara ngapi safari hii!
BTW, una habari kuwa Mbiyavanga Nkanu na Lino Musombo wamehamia FM Academia kwenda kunengua?
wamechukua kombe nimeamua kuwa kumbusha kuwa tuna wadai goli 5...
Kijana unaonyesha ni jinsi gani ulivyo nyuma kiushabiki yaani hizo goli 5 umeona ni matangazo na kitu cha ajabu kwako. Man U ilipigwa 6 na Man city, Arsenal ilipigwa 8 na Man U lakini bado ni timu bora duniani, iweje wewe usiyejua soka unarudia record za magoli na wala hujui record za jumla za timu hizi pinzani. Timu yako Kagame imecheza chini ya kiwango na una bahati mlikuwa mpigwe 10 kama mngeingia fainali..timu mbovu kabisa mnatimua wachezaji ovyo..subirini kichapo kwenye ligi kuu...Mtaijua Yanga vizuri nyinyi mabingwa wa kombe la kinesi.