Video ya ukweli ya mlipuko wa bomu Arusha itatoka lini?

Video ya ukweli ya mlipuko wa bomu Arusha itatoka lini?

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,628
Reaction score
2,290
Wanajamvi naomba walio karibu na wahusika watuulizie ni lini hiyo video ya ukweli ya mlipuko wa bomu Arusha itatoka ili tujiandae kuwakataa wanaotuua. Siku nikijua hiyo video inatoka sitafanya kazi yoyote ili niiangalie vizuri. Tuzuzeni jamani.
 
Wajinga ndiyo waliwao.

Hakuna cha video wala nini. Kama ingekuwepo hiyo video ingekuwa imeshatolewa copy na kusambazwa kila mahali na wao (kina Mh. Mbowe) wangebaki na original.

Tuseme NO kwa wanasiasa waongo na wachochezi kama Mh. Mbowe.
 
Wewe SUMU atakuamini nani wakati wewe ni wakala wa Magamba/Wauaji. Kafie mbali nawauliza wanaoaminika si wewe, suala la kuwepo sina tatizo nalo najua ipo ya ukweli na ni muda tuu bado hata wewe utashangaa na hao unaowashabikia.
Wajinga ndiyo waliwao.

Hakuna cha video wala nini. Kama ingekuwepo hiyo video ingekuwa imeshatolewa copy na kusambazwa kila mahali na wao (kina Mh. Mbowe) wangebaki na original.

Tuseme NO kwa wanasiasa waongo na wachochezi kama Mh. Mbowe.
 
Bado wapo wana shoot,subiri bwana hii itakuja kufunika zote za bongo movie,
Star ni mbowe na lema
 
Kamwe hawawezi kurudia makosa kama yaliyotokea kwa Mwangosi hvyo wamejipanga kuitumia ipasavyo. Mkuu vuta subira itatoka tu. Achana na hao mawakala wa magamba.
 
Back
Top Bottom