Same contents almost all his song!!!
Justine Cumpos hakufaa kabisa kwenye hii video!!
Unajua kuna nyimbo fulani inaweza kuwa ya kawaida lakini, video ikabeba nyimboo!!!
Sasa hapa ndo anakosea HARMONIZE..
Nyimbo ametumia lugha, ambavyo tunajua ilikuja na meli kwa watanzania weengi!!
Baaasi alitakiwa atengenezd video khaali sanaa ili video mtu apate hamu ya kuitazama hata kama nyimbo haelewi!!
Mfano:: nyimbo kama ya JUX-
UMENIWEZA
binafsi naona ni nyimbo ya kawaida tuuu!!
Lakini video nikiitazana sichoki
Through ni aina Mbili tofauti ya muziki
Lakini Harmonize anatakiwa abadilike kwenye Hili!!
Sent from my iPhone using JamiiForums