mkuu hujasema una simu gani lakini simu za hd ndo zinatoka sasa hv na karibia zote zina kioo cha nchi 5 yani makubwa.
Ili simu iwe na hd lazima resolution ya mbele iwe 1080 na kuendelea. Mfano 1800x1080.
Sasa hv kwenye simu tuna semi hd yani 720 ndio maana flagship kama samsung galaxy s3 na lumia 920 namba ya mwisho ya screen resolution inaishia na 720
mfano 1200x720.
Na simu zenye hd au semi hd zinakubali full web yani zinakubali video za youtube version ya computer au website yoyote ya video kwa sababu zina either adobe flash au html5.
Mkuu kama unayo hiyo simu yenye hd usisite ingia website yoyote lakini kama huna simu ya hd better useme ili usaidiwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.