Video: Tukio la uvamizi Igunga

Hakuna mamliki wa kuizuia nguvu ya umma. Peoplez power!!

kweli. kwani GADDAFF kaishia wapi?

sia alikuwa zaidi ya hawa magamba?

magamba yanafanikiwa kwa kuwa yamefanikiwa kuwapa elimu nzuri watanzania, hivyo wengi wetu tunaridhika na tulivyo kwani tukitolewa kwenye system, hatuwezi kukompete. ndicho kinacho wapa kiburi CCM walimu wakigoma na watumishi wengine wa umma
 
Mosie mtumba Mahundo Mghoshi, yeah polisi kinachowaponza ni njaa, hawana lolote hao polisi, watakuja kujutia maamuzi yao
mtumba inu nee mbui, polisi njaa zinawaua na uwepo wa nidhamu ya woga lakini wanaijua kweli.
 
1. Esther amesema akiwa njiani kutoka matembezini, wakati akikaribia katika Hoteli ya Peak Lodge wanakoishi, alishtushwa kuona gari aina ya Pick up Hilux lililokuwa na bendera ya CHADEMA likimfuatilia Nilikuwa natoka Silent Inn, nikaona gari inanifuatilia kabla sijaingia njia ya kwenda Peak nilikofikia, nikapitiliza kama naenda Singida, bado wakawa wananifuata huku wakilipiga gari langu kwa mawe na risasi
2. “Nilikuwa natoka Silent Inn, nikaona gari inanifuatilia kabla sijaingia njia ya kwenda Peak nilikofikia, nikapitiliza kama naenda Singida, bado wakawa wananifuata huku wakilipiga gari langu kwa mawe na risasi,”
3. “Aliyerusha risasi ni Waitara. Nimememwona,”

Jamani hili tukio halikutokea usiku? Huyu Esther aliwezaje kuona bendera ya Chadema ikiwa risasi zilirushwa toka gari ya nyuma, haiyumkini ikiwa imewasha taa? Risasi ngapi zilirushwa kuwe na zilizopigwa hewani na zilizolenga gari ya Esther? Na Esther katika vurugu hii, wakati wa usiku, na risasi zikipigwa kuelekea gari ailokuwamo, angewezaje kuona ni nani alikuwa akipiga risasi?

Yaani naona Esther amesoma sana vitabu vya hadithi kamza za Kufa na Kupona! Aende makamani akababiliane na wakili mzuri aone atakavyotiwa aibu na hata kutiwa hatiani kwa kutoa ushahidi wa uongo!
 
aisee kweli mmeamua kuwapa tifu ccm hii kiboko mwanzo mzuri mpaka kieleweke
mambo yamekua magumu naona sasa hata silaha zinatumika aiesee
 
Nchi hii jamani inaudhi sana hawa wabunge Wa ccm wamewafuata makamanda Wa chadema hotelini Bado chadema wanasingiziwa kuwa walitaka kumteka huyu mwanamama inaleta hasira sana hasa kwa hawa Polisi waliomua kutumiwa na ccm.
Enyi viazi na majambazi wa magamba. Hii ndiyo mnayoita amani? hii ndiyo mnayoita demokrasia? Mbunge wa Sumbawanga mjini hakupekuliwa lakini Waitara anapekuliwa na kukamatwa.
HATUNA HAJA NA AMANI MNAYOHUBIRI "STUPID"
 
Maswali ya waandishi wa habari ktk video Igunga :

Source : chadematv YOUTUBE.
Waislamu wanafanywa magogo ya chooni ya magamba kila wakitaka kujisaidia haja kubwa! wanaenda. Ona sasa wanampigania mkristo aliyejitanda kanga wakaita muislam mwenye ushungi. Mtatumika sana lakini hamtapata shukrani labda ya punda/mateke. kampeni zikipita mkishamwezesha huyo kiongozi wa mikataba mibovu ya madini kukamata jimbo! mnabaki mkilalama!! serikali inapendelea makanisa!!!!!!!!!!
Kutumika (abused) ni jambo baya mno.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mama mwandishi wa habari aliuliza swali jema sana ambalo shehe mkuu naye alijibu vema sana ikaonekana kuwa ile ya mkuu wa wilaya si Hijabu ina kinachofanyika ni ushabiki wa kisiasa tu?


Wewe unasemaje juu ya hijab hii


aluta continua.

Maswali ya waandishi wa habari ktk video Igunga :

Source : chadematv YOUTUBE.
 
Last edited by a moderator:
sasa binti mzima anasema anatoka matenbezini saa nane au alitoka kujiuza? huyu ni mwongo kwanini sasa awafute wanaume CDM hivi huu uchaguzi unawafanya wasilale?
 
sasa binti mzima anasema anatoka matenbezini saa nane au alitoka kujiuza? huyu ni mwongo kwanini sasa awafute wanaume CDM hivi huu uchaguzi unawafanya wasilale?

Huyu binti atakuwa alitoka kungonoka usiku wa manane au alitoka kuwanga makaburini
 
Moderators unganisheni thread hii na ile nyingine ya Chadema kuvamiwa Igunga.
 
muda sio mrefu viongozi wa ccm wataanza kuikimbia hii nchi,kaanza rostam, wengine watafata kabla ya 2015...na hakika na hili..hawatasubiri kusulubiwa cdm itakapochukua nchi 2015
 

Ushahidi wa video mzuri sana. Maganda ya risasi nje ya Guest House ya CDM na vioo vya magari ya wabunge wa CCM nje ya Guest ya Chadema, lakini stori ya Mbunge wa CCM alikuwa akifuatwa njia ya Singida.

Uongo uongo, uongo.
 
Kama kuna mapya kuhusiana na tukio hili, tujulisheni mlioko Igunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…