VIDEO - Tembo Anayeongea Awa Gumzo Duniani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
5039794.jpg

Kosik tembo anayeongea ambaye amejipatia umaarufu mkubwa duniani </td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top">
Wanasayansi toka mataifa mbalimbali wanamiminika nchini Korea Kusini ili kumfanyia uchunguzi tembo ambaye amejipatia umaarufu mkubwa baada ya kugundulika ana uwezo wa kutamka baadhi ya maneno katika lugha ya kikorea.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Wakufunzi katika mbuga ya wanyama ya Everland Theme Park walisema kuwa waligundua kuwa tembo huyo aliyepewa jina la "Kosik" ana uwezo wa kuongea mnamo mwaka 2006.

Waliongeza kuwa kuanzia wakati huo hadi sasa amekuwa akitamka kwa ufasaha maneno saba katika lugha ua Kikorea.

Maneno katika lugha ya kikorea yanayomaanisha "Hujambo", "Vizuri" na "Lala chini" ni miongoni mwa maneno saba ambayo tembo huyo anaweza kuyatamka kwa ufasaha.

Dr Daniel Mietchen, mwanasayansi mtaalamu wa bailojia toka chuo kikuu cha Jena nchini Ujerumani ni miongoni mwa wanasayansi walioenda nchini Korea Kusini kumfanyia uchunguzi "Kosik" ambaye amekuwa kivutio kikubwa sana cha watalii.

Dr Mietchen alisema kuwa Kosik huenda akawa ndio tembo wa kwanza duniani mwenye uwezo wa kutamka maneno.

Angalia VIDEO ya tembo huyo chini.




wenzetu wanawafundisha Tembo kila kitu sisi wabongo tunawauwa jamani kasheshe kweli bongo yetu

chanzo:NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
</td></tr></tbody></table>
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom