Kutokana na kuzidi kupanda kwa gharama za maisha na hasa kodi na bei za nyumba watu wengi wamejikuta kukosa sehemu maalumu za kuishi. Pia state hiyo ina sheria zinazowalinda watu hao hivyo hawaondolewi tofauti na states zengine.