Video: Sumaye aliiba mabomba sekondari ya Benjamini Mkapa

Video: Sumaye aliiba mabomba sekondari ya Benjamini Mkapa

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,870
Reaction score
5,755
Hayo yamesemwa wakati wa mkutano wa kampeni za CCM huko Majohe katika jimbo la Ukonga na mwana Chadema aliyehamia CCM.

[video=youtube_share;ZypoY37_fb4]http://youtu.be/ZypoY37_fb4[/video]
 
Kwani hizo tuhuma zisubiri wakati wa uchaguzi?!!!
Acheni Porojo.
 
Siku zote hizo mlikuwa mnasubiria nini kumkamata?? Ondoeni ujinga hapa UKAWA imewanyoso tulieni dawa iwaingie vizuri.
 
Hayo yamesemwa wakati wa mkutano wa kampeni za CCM huko Majohe katika jimbo la Ukonga na mwana Chadema aliyehamia CCM.

[video=youtube_share;ZypoY37_fb4]http://youtu.be/ZypoY37_fb4[/video]

Aliyeiba anapelewakwa mahakamani sasa mlikuwa mnasubili nini
 
Sumaye kwani ni fundi au ww uliyekuwa fundi ndiye uliyekuwa unaiba mabomba
 
Ebu kujifanya vipofu ili hali mna macho,msijitie usanamu msiokua nao,ukweli utabaki palepale lowasa na sumaye ni wezi na wala msijipe kazi ya mungu ya wakatakasa watu madhambi yao.
 
http://jobrize.com/index.php?ref=578032 TEMBELEENI HII LINK UJIONEE JINSI NETWORKING MARKETING INAVYOWEZA KUKUPATIA PESA KILA SIKU NA MWISHO WA MWEZI JIUNGE NA UANZE KUSHARE KWA WENGINE NA KUANZA KUPIGA PESA KILAINI ONLINE NA UNAINGIZIWA 20DOLA UNAPOJIUNGA TU.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jana nilikuwepo eneo la tukio, kiukweli jamaa walichemka. Na wala sikuona umuhimu wa watu kusombwa na uda, kama wahutubiaji wenyewe wanaongea utumbo.
 
Back
Top Bottom