Video shows Minneapolis cop with knee on neck of motionless, moaning man who later died

Bora police hao wanaoua hadharani, watu wamepaza sauti na hatua zimechukuliwa. Tanpol wakikuteka hupatikani tena, unakuwa chakula Cha chatu.
 
Mbona umeanzisha threads nyingi zenye content ile ile usiku huu. Lala ukue.
 
Vipi umewahi hoji kwenye chama chako policcm waliomuuwa aquilini, Allen Mbeya kwann wanaendelea na kazi.
 
True case study waliomuuwa aqulini na Allen mbeya,waliofungulia geti magaidi wa area D still wapo kazini Hadi kesho Sasa USA na nchi ya wasiojulikana wapi kuna ugaidi?
 

Attachments

  • tanzania-police-brutality.jpg
    17.6 KB · Views: 1
  • bg4.png
    321.5 KB · Views: 1
  • daudi-mwangosi-remains.jpg
    40.6 KB · Views: 1
  • police-Brutality-1.jpg
    29 KB · Views: 1
Ubaguzi ni suala binafsi na hulka ya mtu na si sera ya taifa lolote,Jamii yeyeto isiyofanana Ina silika ya kubaguana kidini,kirangi, kiimani,kiitikadi nk
 
So wakati unalaani ukatili wa polisi USA usiache kulaani polisi wa Africa pia Kama killing machine's
 

Attachments

  • tanzania-police-brutality.jpg
    17.6 KB · Views: 1
  • kenya-violence-police_0.jpg
    25.6 KB · Views: 1
  • bg4.png
    321.5 KB · Views: 1
  • ETGD4eHWoAIgxpL.jpg
    66.2 KB · Views: 1
  • Daudi.jpg
    21.4 KB · Views: 1
  • police-brutality-kenya.jpg
    42.5 KB · Views: 1
  • daudi-mwangosi-remains.jpg
    40.6 KB · Views: 1
  • kenyaviolence1_051816051717.jpg
    37.2 KB · Views: 1
  • brtsap.jpg
    16.6 KB · Views: 1
  • bekkersdal-01.png
    194.7 KB · Views: 1
  • zimbabwe-police.jpg
    41 KB · Views: 1
  • zimbabwe-police(2).jpg
    41 KB · Views: 1
  • Screen-Shot-2015-03-13-at-10.03.02-PM-1024x650-1024x650.png
    207.1 KB · Views: 1
  • Police-1.jpg
    88.9 KB · Views: 1
  • 396D7A51-FC7A-430A-B9F9-ECEF0C8C1319.jpg
    190.9 KB · Views: 1
  • e552Rpx9j8573b81671a00002f00c28b8c.jpeg
    38.9 KB · Views: 1
  • cop(1).jpg
    219.4 KB · Views: 1
  • Police-kick-child.jpg
    26.8 KB · Views: 1
  • Ug+police.jpg
    41.7 KB · Views: 1
  • 31kenya.3.jpg
    37.4 KB · Views: 1
Huna ujualo. Tanzania hakuna askari waliofukuzwa kazi kwa makosa mbalimbali? Tunaona ya weupe ni mema kiasi cha kutoona ya kwetu.
 
Eti hao ni Watetezi wa Haki za Binadamu. Nyie mnaojiita Human rights watch stuka mnayoyafanya mnasaidia kulinda maslahi ya Marekani.
 
Huna ujualo. Tanzania hakuna askari waliofukuzwa kazi kwa makosa mbalimbali? Tunaona ya weupe ni mema kiasi cha kutoona ya kwetu.
Tustick na makosa ya kuua au kujeruhi kisa kutumia excessive force unnecessary while on duty. Makosa mbalimbali ndiyo kitu gani?

Kwahiyo waweza ongelea juu ya kifo cha Mwangosi, Aquilina n.k.
 
Tustick na makosa ya kuua au kujeruhi kisa kutumia excessive force unnecessary while on duty. Makosa mbalimbali ndiyo kitu gani?

Kwahiyo waweza ongelea juu ya kifo cha Mwangosi, Aquilina n.k.
Ujinga wa CHADEMA wa kutaka umaarufu ndo chanzo cha vifo vya Acqulina na Mwangosi.
Kama kiongozi siwezi kukubali mburura wanisumbue na kunidharau.
Trump leo anatangaza kutumia jeshi kuzima maandamano bado mtasema yuko sahihi ila angekuwa Magufuli mngesema hakuna demokrasia. Tuache upumbavu wa kushabikia ya wenzetu na kudharau yetu. Chanzo cha dharau na kiburi cha CHADEMA ni Marekani na ndo wafadhili wao wakubwa kifedha na sera.
Marekani haina demokrasia zaidi ya ubabe na kuvuruga mataifa mengine ili Marekani ibaki kuwa superpower.
Hakika Mungu ameona udhalimu na ufedhuli wao, kawapa adhabu stahiki toka corona hadi maandamano. Hata cha kutufundisha tena. Alimdharau Magufuli lakini amejikuta anafuata mfano wake na yale aliyotabiri hayajatokea.
Wakeup Africans and think about Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…