VIDEO: Prof. Lipumba na wafuasi wa CUF wakipata kipigo

siku hizi dawa yake ndio hiyo askari wanaopiga watu unawarusha hewani halafu tunawasaka mtaani popote walipo hata ipite miaka watapatikana tu

wakati unawasaka wanakutizama tu, chunga kauli zako zitaponza wengi.
 
Hongera majambazi kwa kuwachinja hawa washe.nzy tena ongezeni kasi ya kuwacharanga hata ikiwezekana muwe mnachinja kila siku kwa kupokezana, Leo Tanga kesho Kigoma keshokutwa Shinyanga!! Tumechoka sisi!

Maneno kama haya ukiyatamka nchi kama Rwanda unaishia jela
 
Ni dhahiri kwa yeyote aliyetizama video ya jinsi prof lipumba alivyokamatwa na mazingira yote atakubaliana na mimi kuwa polisi walikuwa provoked na kauli mbovu za wafuasi wa prof limbumba.

Polisi walifanya kazi nzuri sana kwa kuwathibiti na kuwakamata hao waleta fujo.

Nasema hongera jeshi la polisi.

Ila wananchi wenzangu nawashauri tuwe makini na wanasiasa, na tujifunze kutii amri an kufuata sheria. Maana waliambiwa watawanyike, hawakusikia!

Ache kutumika VIBAYA NI DHAMBI, tumika sehemu sahihi.
 
Sahihi kabisa,hakuna mtu aliyejuu ya sheria, tatizo ni viongoz wetu wanapokuwa na wafuasi wao na mihemko inachukua nafasi yake ..mwisho wa siku wanahisi wanaweza kufanya lolote,ni makosa makubwa kuto tii sheria kwan inaweza kupelekea kwa uvunjifu wa amani...na inanishangaza kwa kijana kufunga ndoa na chama na sio taifa lake..
 
Nimeipenda hii ya tundu lissu polisi wamebadili namba kutoka STK na kuwa PT yani Piga Tu
 
Ni dhahiri kwa yeyote aliyetizama video ya jinsi prof lipumba alivyokamatwa na mazingira yote atakubaliana na mimi kuwa polisi walikuwa provoked na kauli mbovu za wafuasi wa prof limbumba.

Polisi walifanya kazi nzuri sana kwa kuwathibiti na kuwakamata hao waleta fujo.

Nasema hongera jeshi la polisi.

Ila wananchi wenzangu nawashauri tuwe makini na wanasiasa, na tujifunze kutii amri an kufuata sheria. Maana waliambiwa watawanyike, hawakusikia!

sijaelewa hizo sheria zinafanya kazi kwa upinzani pekee???
 
Hakuna kupiga marufuku acha ichocheee hawa polisi wamezidi.....
 
"Provoked"? ... Professional huwa hawezi kuwa provoked akiwa kazini hata siku moja! Wale siyo professional ndiyo maana walikuwa wanasema kuwa wanatekeleza amri kutoka Juu! aka IKULU! ... Binafsi niliichukulia kama kauli ya kumdhalilisha Rais ...
Ni dhahiri kwa yeyote aliyetizama video ya jinsi prof lipumba alivyokamatwa na mazingira yote atakubaliana na mimi kuwa polisi walikuwa provoked na kauli mbovu za wafuasi wa prof limbumba.

Polisi walifanya kazi nzuri sana kwa kuwathibiti na kuwakamata hao waleta fujo.

Nasema hongera jeshi la polisi.

Ila wananchi wenzangu nawashauri tuwe makini na wanasiasa, na tujifunze kutii amri an kufuata sheria. Maana waliambiwa watawanyike, hawakusikia!
 
Kuna vijana wanauza hii DVD shs elfu 20, wsema inaenda kama njugu, sasa ndo tunamwelewa huyu lipumba ni mtu wa aina gani.

Si uwakamate?Lini Lipumba kaingia studio na kutengeneza hizo dvd?Je!Lipumba ndiye aliyewaagiza Polisi wawapige ili warekodi na kuuza hzo dvd?Vijana wanatumia Fursa Kuishi!Kilichofanywa na Serikali ya ki Fascist kimeonekana duniani,cjui uchochezi gani mnaousema?
 
Sahihi kabisa,hakuna mtu aliyejuu ya sheria, tatizo ni viongoz wetu wanapokuwa na wafuasi wao na mihemko inachukua nafasi yake ..mwisho wa siku wanahisi wanaweza kufanya lolote,ni makosa makubwa kuto tii sheria kwan inaweza kupelekea kwa uvunjifu wa amani...na inanishangaza kwa kijana kufunga ndoa na chama na sio taifa lake..

unajua kufuatilia mamb hatua kwa hatua??? Au una rukia mada bila kutafakari??
 
Ni dhahiri kwa yeyote aliyetizama video ya jinsi prof lipumba alivyokamatwa na mazingira yote atakubaliana na mimi kuwa polisi walikuwa provoked na kauli mbovu za wafuasi wa prof limbumba.

Polisi walifanya kazi nzuri sana kwa kuwathibiti na kuwakamata hao waleta fujo.

Nasema hongera jeshi la polisi.

Ila wananchi wenzangu nawashauri tuwe makini na wanasiasa, na tujifunze kutii amri an kufuata sheria. Maana waliambiwa watawanyike, hawakusikia!

Uliangalia video ipi hiyo iliyokuonesha huo uongo?Anyway,cjui kiwango chako cha Elimu, na inawezekana Umesoma ila hukuelimika.Analysis yako juu ya hili tukio ni very very poor!
 
Back
Top Bottom