VIDEO: Police Vs Democracy in Tanzania

VIDEO: Police Vs Democracy in Tanzania

Umenitoa machozi kwa kuona huu udhalimu uliofanywa na kufunikwa na watawala wetu. Ninaamini huu udhalilishaji wa utu unaweza kufanywa kwa mtanzania yeyote asiye na hatia kwa manufaa ya watawala wasiojali sisi wananchi wake.
 
Inasikitisha sana, hao mbwa malipo ni hapa hapa.
 
Mbona sijaiona hiyo video mkuu au kwa kuwa natumia mchina.?
 
umenirudishia machungu yaliyokuwa yamenza kusahaulika kichwani mwangu lkn nakushukuru mkuu hii inanifanya niendelee kuichukia ccm mimi na kizazi changu
 
What goes around comes around and i think, one day this will end be it badly or smoothly!!
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali peponi kamanda mpiginaji! Amen! Ee Mungu tuonee huruma tunaoangamia bila kosa lolote kwa sababu tuu ya matumbo ya wachache. Machozi yamenitoka nilipouona kwa mara nyingine mwili wa Daudi ulivyoharibiwa binadamu wengine tunayo roho za kishetani kweli.
 
Mbona sijaiona hiyo video mkuu au kwa kuwa natumia mchina.?

Pole Mwanangu Mchina na Yotube havina mawasiliano. The cheapest stuff ends up to be very costly. As usual fakes would lead you nowhere ni matunda ya CCM
 
Mkuu wengine tunaotumia cm tumeshindwa kuiona kama vp tuelezee
 
Back
Top Bottom