ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,470
- 88,594
Ukijani hapo around kiwanja ni utapeli.mtupu. pakame.mno domHivi Kuna Rais amewahi fanya makubwa na kuleta mafanikio kwenye sekta ya Michezo,sana n burudani kumshinda Samia katika historia ya ๐น๐ฟ?
Huwezi Kuta SSH akijigamba ila matokeo kwake ni makubwa sana ,mfano ni kwenye sekta ya ujenzi wa viwanja vya Michezo
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Arusha
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Dodoma
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo KMC
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo Meja Samunyo
-Ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa
-Ukarabati wa uwanja wa Uhuru (Shamba la Babi)
-Ujenzi wa viwanja vya Michezo kwenye Miji na Halmashauri mbalimbali eg Chunya,Moshi,Sengerema,Tunduma nk
-Ukarabati wa viwanja vya Michezo na kufungwa taa eg Nyamagana,CCM Kirumba,Jamhuri,Kaitaba ,Mtibwa Sugar,Mkwakwani,
-Ujenzi wa viwanja vya mapunziko na mazoezi eg Chinangali-Dodoma,Dar,Arusha,Tanga nk
Yaani hivyo ni Baadhi tuu kati ya viwanja vingi ambavyo Profesa wa siasa na Maendeleo SSH ameweka juhudi zake.
Tunampa maua yake angalia akiwa hai ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DF9gdsBITFT/?igsh=MXE0cXo0ZDllbGo2dA==
View: https://www.instagram.com/reel/DF-VZcio4k8/?igsh=MXh3aHN2YmN4MDByMA==
My Take
Samia amegusa Kila sekta na kote amefaniliwa pakubwa,hakuna hata wa kumsogelea ukifanya ulinganisho.
Hakuna kama Samia mitano tenaHivi Kuna Rais amewahi fanya makubwa na kuleta mafanikio kwenye sekta ya Michezo,sana n burudani kumshinda Samia katika historia ya ๐น๐ฟ?
Huwezi Kuta SSH akijigamba ila matokeo kwake ni makubwa sana ,mfano ni kwenye sekta ya ujenzi wa viwanja vya Michezo
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Arusha
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Dodoma
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo KMC
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo Meja Samunyo
-Ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa
-Ukarabati wa uwanja wa Uhuru (Shamba la Babi)
-Ujenzi wa viwanja vya Michezo kwenye Miji na Halmashauri mbalimbali eg Chunya,Moshi,Sengerema,Tunduma nk
-Ukarabati wa viwanja vya Michezo na kufungwa taa eg Nyamagana,CCM Kirumba,Jamhuri,Kaitaba ,Mtibwa Sugar,Mkwakwani,
-Ujenzi wa viwanja vya mapunziko na mazoezi eg Chinangali-Dodoma,Dar,Arusha,Tanga nk
Yaani hivyo ni Baadhi tuu kati ya viwanja vingi ambavyo Profesa wa siasa na Maendeleo SSH ameweka juhudi zake.
Tunampa maua yake angalia akiwa hai ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DF9gdsBITFT/?igsh=MXE0cXo0ZDllbGo2dA==
View: https://www.instagram.com/reel/DF-VZcio4k8/?igsh=MXh3aHN2YmN4MDByMA==
My Take
Samia amegusa Kila sekta na kote amefaniliwa pakubwa,hakuna hata wa kumsogelea ukifanya ulinganisho.
Kwa haya anayofanya mi 10 tena ๐๐Hakuna kama Samia mitano tena
Wengine walioshindwa Kwa sababu walikuwa wanatoa hela mfukoni mwao? Hater ๐๐Mnavyosifia utafikiri ametoa hizo pesa mkononi mwake
Kina nani walishindwa?Wengine walioshindwa Kwa sababu walikuwa wanatoa hela mfukoni mwao? Hater ๐๐
Waliotangulia except Benjamin wa uwanja wa mbeleko ya China ๐ฌ๐ฌKina nani walishindwa?
Ujinga wa kuonesha kazi nzuri ya Samia ndio naupenda Sasa na Niko tayari kuendelea nao.๐๐Acha UJINGA basi we kilaza.....
Maana ya 3d pictures. Acha kuniaibisha basi.Ukijani hapo around kiwanja ni utapeli.mtupu. pakame.mno dom
Vyote hivyo viko under construction.By the way uwanja huu ni muhimu Kwa Afcon 2027...of all necessary priorities katika mji mkuu kiwanja cha mpira ndio kinahitajika sasa..? Maji je..yapo dodoma? Umeme wa dharula ku-back up umeme wa grid upo..? It's peculiar! Kila mahali kujenga..why? ni km kuna syndicate ya money laundering inasimamiwa na mamlaka. Michezo ina mchango gani kwenye uchumi wa nchi hadi kupewa nafasi hiyo kujenga viwanja? We have gone no where si riadha, futball, netball nk..then why wasting resources kwa jambo lisilo na tija kwenu..!
Afcon kuna timu hapa ya kushindana kuchukua kombe au una maana timu ya wasindikizaji..nchi inapata nini kutoka kwenye mpira?Vyote hivyo viko under construction.By the way uwanja huu ni muhimu Kwa Afcon 2027.
Tuna anadaa Afcon,hayo mengine ni Yako binafsi.Afcon kuna timu hapa ya kushindana kuchukua kombe au una maana timu ya wasindikizaji..nchi inapata nini kutoka kwenye mpira?
Ujinga wa kuonesha kazi nzuri ya Samia ndio naupenda Sasa na Niko tayari kuendelea nao.
Akisema zisiende haziendi kunguni we. Nyumbu mama anavyokupelekeni lazima muombe po mwaka huuMnavyosifia utafikiri ametoa hizo pesa mkononi mwake
Dah, haters Sasa mnaelekea kuchanganyikiwa haki ya Mungu. Yaani kabisa jitu lipo jf linaongea huu ujinga.Afcon kuna timu hapa ya kushindana kuchukua kombe au una maana timu ya wasindikizaji..nchi inapata nini kutoka kwenye mpira?