Video: Nyomi ya watu kwenye mkutano wa Tulia jimboni Uyole

Video: Nyomi ya watu kwenye mkutano wa Tulia jimboni Uyole

kwa hiyo video yako ina lengo gan maana umeitoa ukiwa kolometa moja kutoka eneo la tukio. sasa km video yenyewe inaonyesha imechukuliwa kwa mbali hivyo aliyeichukua alikuwa na lengo lisilo zuri na imechukuliwa mda usio sahihi ili kutimiza ulichokuwa unataka
 
Hata kama humpendi Tulia, Mpe basi haki yake, Mkutano hapo Bado haujaamza, unheweka video wakati anahutubia basi, Yani hivyo viti wamewekewa majini au?
 
Back
Top Bottom