britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Nasikia alimwambia kama umuaachi hii leo mizigo yenu pamoja na mafuta yenu kwenye bomba la TAZAMA utafute pa kuvipitisha. Na wakati huo huo Chiluba alikuwa na bifu na Dos Santos wa Angola, basi akawa hana pa kutokea.Mmmh aisee, chiluba bana sijui alikuwa na ujasiri kutoka wapi
Nyerere naye aliingilia mamlaka ya nchi nyingi mnoNasikia alimwambia kama umachi hii leo mizigo yenu pamoja na mafuta yenu kwenye bomba la TAZAMA utafute pa kuvipitisha. Na wakati huo huo Chiliba alikuwa na bifu na Dos Santos wa Angola, basi akawa hana pa kutokea.
Nyerere naye aliingilia mamlaka ya nchi nyingi mno
Hebu weka vizuri hapa. Kwani kipindi Kaunda anawekwa ndani na Chiluba rais wa Tanzania alikuwa nyerere mpaka awe na uwezo wa kutishia kuzuia bidhaa za Zambia toka Dsm!!?Nasikia alimwambia kama umuaachi hii leo mizigo yenu pamoja na mafuta yenu kwenye bomba la TAZAMA utafute pa kuvipitisha. Na wakati huo huo Chiluba alikuwa na bifu na Dos Santos wa Angola, basi akawa hana pa kutokea.
Hebu weka vizuri hapa. Kwani kipindi Kaunda anawekwa ndani na Chiluba rais wa Tanzania alikuwa nyerere mpaka awe na uwezo wa kutishia kuzuia bidhaa za Zambia toka Dsm!!?
Kumbukumbu zangu zinaniambia Chiluba ameingia madarakani wakati Tz rais ni MwinyiHizi ni tetesi za wakati ule. Rais alikuwa Mh. Benjamin Mkapa hivyo kuna uwezekano wa kuwa walishauriana na ndipo akaenda, na umbeya huu nilipewa na rafiki yangu Mzambia ambaye alikuwa mpinzani wa Chiluba.
Matunda yake tunayaona . .Nyerere naye aliingilia mamlaka ya nchi nyingi mno
Mtu yeyote aliye Pata kibali kutoka kwa MAULANA kuongoza mamilioni ya watu anakuwa sio mtu wa kawaida . ..inatakiwa hekima kushuhulika naye . ..kumbuka Daudi na Sauli . ...Daudi alimwachia Mwenye Enzi Mungu ashuhulike na Sauli kwani Sauli alikuwa ni mpakwa mafuta wa Mwenye Enzi Mungu . ..tuwe na hekima katika mienendo yetu . .huku kwetu ukizungumiza ufisadi wa Kikwete mbele ya Magufuli anaweza akakukata makofi ukazimia ukajikuta umelazwa hospital ya taifa.
Kubwa kuliko yote ni hoja alizojenga UN kushinikiza CHINA ipewe hadhi ya KURA YA VETO ambayo initially walipewa zile nchi zilizokuwa kwenye kundi la washindi wakati wa WW2.Nyerere naye aliingilia mamlaka ya nchi nyingi mno
Mkuu Mwl Nyerere akuwa Kiongozi wa nchi lkn kumbuka alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya nchi..Hebu weka vizuri hapa. Kwani kipindi Kaunda anawekwa ndani na Chiluba rais wa Tanzania alikuwa nyerere mpaka awe na uwezo wa kutishia kuzuia bidhaa za Zambia toka Dsm!!?
Na sisi tutapata kibali kutoka kwa mungu kufuta hati ya shamba la Mkapa.Mtu yeyote aliye Pata kibali kutoka kwa MAULANA kuongoza mamilioni ya watu anakuwa sio mtu wa kawaida . ..inatakiwa hekima kushuhulika naye . ..kumbuka Daudi na Sauli . ...Daudi alimwachia Mwenye Enzi Mungu ashuhulike na Sauli kwani Sauli alikuwa ni mpakwa mafuta wa Mwenye Enzi Mungu . ..tuwe na hekima katika mienendo yetu . .