zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,927
- 6,656
Kashaagiza kitaaambo tena kwa bei ya jumla kauziwaIna machejo hiiš¤£.Nakushauri babu yangu mavilemba nunua 200 hizi vinginevyo Zayuni atakuvua msuli mchana wa jua kali hadharani.
Kashaagiza kitaaambo tena kwa bei ya jumla kauziwaIna machejo hiiš¤£.Nakushauri babu yangu mavilemba nunua 200 hizi vinginevyo Zayuni atakuvua msuli mchana wa jua kali hadharani.
Basi kazini kwa bwana Nyau kuna kazi.Kashaagiza kitaaambo tena kwa bei ya jumla kauziwa
Ingesifiwa ya Marekani ungerukaruka mpaka nguo kuvuka kama Mfalme Daudi na kinubi....Sasa kinachokushangaza hapo ninini??. Mbona Mambo ya kawaida hayo kwenye ndege za kivita
Kuchafua tu Uzi wa watu ..Sasa uislamu umeingiaje kwenye huu Uzi!??Hivi unajua Dunian nchi au taifa ambalo haliwazagi Dini ya Kiislamu ni China??hivi unajua China ndo nchi pekee Dunian inayo wanyonyoa na kuwabanika waislamu? Hivi unajua China ndo nchi inayo ongoza kucopy na kupest vya waliomzidi huku vingi vikiwa feki Kama utakuwa na akili umenielewa!!!
Huyo Zayuni ndio kisha vuliwa nguo tayari kwa kile kichapo,Zayuni hana uwezo hata wa kutupa jiwe bila kupata ruhusa ya mfadhili wake anayempa Silaha, fedha na information za kiintelijensia,Ina machejo hiiš¤£.Nakushauri babu yangu mavilemba nunua 200 hizi vinginevyo Zayuni atakuvua msuli mchana wa jua kali hadharani.
Wataalam mje hapa, China wamezindua ndege yao hatari ya kivita ya J-35 ambayo inafanana na na ndege hatari ya kivita ya F-35 ya kimarekani
Hapo ni kwenye maonyesho ikiruka hapo[emoji1313][emoji1313]
Naona nchi nyingi zikianza kununua hii na kuachana na F-35 za mmarekani maana hii lazima itakua nafuu kwa bei kuliko hiyo ya Marekani
J - 35 stealth fighter jet at the Zhuhai Airshow. It's like a mysterious and powerful eagle in the sky, attracting all eyes with its advanced technology and sleek design.
View: https://x.com/zhang_heqing/status/1856039731932606528?t=A8nHOMU6Dvt-JemTY8oaFA&s=19
LGBTQ hii mada imewachoma kama Pasi,unahangaika kama Kuku aliyekatwa Kichwa kisha akaachiwa ghafla,J 35 ya china pichani
Linganisha na iyo picha mjongeo (video) ilio wekwa hapa na bwana kimsboy tuki sema wafuasi wa Mudi ni weupe kichwani mna mind
Ona mazuzu yame anza kuji weka wazi Video iliyo wekwa haihusiani na iyo ndege ya kichina kwa kua ndege inayo onekana ni Russian Made bila shaka ni Sukhoi kwann adanganye ni J 35 wakati sio sahihi na picha halis ya ndege husika nime weka hapo J 35 ni copy ya F 35 wewe ZUZU wakati wenzako tuna enda shule kusoma wewe ulikua una enda Madrassa kupakuliwa KISAMVULGBTQ hii mada imewachoma kama Pasi,unahangaika kama Kuku aliyekatwa Kichwa kisha akaachiwa ghafla,
Vipi wale wanaouziwa mafuta na chumvi ya upako wakiaminishwa kua vitawapa utajiri bila hata ya kufanya kazi,ndio wao sio weupe kichwani?
Hamna jipya kivipi. Mtanzania umegundua kutengeneza hata njiti ya kiberiti ? Sisi Tz utaalam wetu ni maneno mengi ya kwenye vikao na kudai posho.Tunasubiria 6th generations, hizi 5th hamna jipya.
Wewe hata kuandika kwa ufasaha tu hujui halafu unajinasibu eti umesoma!Ona mazuzu yame anza kuji weka wazi Video iliyo wekwa haihusiani na iyo ndege ya kichina kwa kua ndege inayo onekana ni Russian Made bila shaka ni Sukhoi shaka ni Sukhoi kwann adanganye ni J 35 wakati sio sahihi na picha halis ya ndege husika nime weka hapo J 35 ni copy ya F 35 wewe ZUZU wakati wenzako tuna enda shule kusoma wewe ulikua una enda Madrassa kupakuliwa KISAMVU
Huyo Binti alipigwa talaka na bwana yake aliyekua muislamu,ikabidi chuki zake azihamishie kwenye dini ya mtalaka wake.Hivi nyinyi wapumbavu hamuwezi kujadili mada bila ya kuingiza kejeli za kidini?
Alafu sijui kwa nn mod wameendelea kulea huu upumbavu.
Hizo chuki zako dhidi ya waisilam iliyo kujaa mpaka matakoni inatokana na nn hasa?
Ww waisilam walisha kuharibia nn cha kwako kiasi kwamba unashindwa kujadili mada iliyoko mezani unatoa kashifa za kidini dhidi yao kiasi hichi?
Wachina kwenye military science huwa hawakoseagi.Hii ya kichina sijajua inapigaje kazi ila Ile f 35 hamna kazi pale
Stop blabbering we kenge.Hivi unajua Dunian nchi au taifa ambalo haliwazagi Dini ya Kiislamu ni China??hivi unajua China ndo nchi pekee Dunian inayo wanyonyoa na kuwabanika waislamu? Hivi unajua China ndo nchi inayo ongoza kucopy na kupest vya waliomzidi huku vingi vikiwa feki Kama utakuwa na akili umenielewa!!!
Du hatari. Mambo ya marekani tena. Nimesema ndege zoteee za kivita hata za kiraia kufanya hivyo ni kawaida. Kuna uwezekano hujawahi kuona Air showsIngesifiwa ya Marekani ungerukaruka mpaka nguo kuvuka kama Mfalme Daudi na kinubi....
ššššYani passenger jet ipige dede na kupinduka juu chini kama hii!??Du hatari. Mambo ya marekani tena. Nimesema ndege zoteee za kivita hata za kiraia kufanya hivyo ni kawaida. Kuna uwezekano hujawahi kuona Air shows
Aliyeanza kuleta udini si ni ndugu yako katika Imani!?? Mbona haukumkemea !?? Angaliza mwanzo kabisa aliyeanza kuleta issue za waislamu kuonewa wakati Uzi ni China alikuwa nani na alikuwa na maana gani!?? Mbona hukumkemea!??Hivi nyinyi wapumbavu hamuwezi kujadili mada bila ya kuingiza kejeli za kidini?
Alafu sijui kwa nn mod wameendelea kulea huu upumbavu.
Hizo chuki zako dhidi ya waisilam iliyo kujaa mpaka matakoni inatokana na nn hasa?
Ww waisilam walisha kuharibia nn cha kwako kiasi kwamba unashindwa kujadili mada iliyoko mezani unatoa kashifa za kidini dhidi yao kiasi hichi?
Kwa kweli sijawahi maana nakuwaga bize sana na mamaako.Du hatari. Mambo ya marekani tena. Nimesema ndege zoteee za kivita hata za kiraia kufanya hivyo ni kawaida. Kuna uwezekano hujawahi kuona Air shows
Inashangaza lakini pia inafikirisha.Sasa dini ya Uislam inaingiaje kwenye uzi wa J-35A ?
Mkuu wewe tukikupa blue prints za hii ndege unaweza kuiunda?China ndo nchi inayo ongoza kucopy na kupest vya waliomzidi huku vingi vikiwa feki Kama utakuwa na akili umenielewa!!!