tena muda mwingine ukikutana na mtu anaongea kiswahili mwogope piamimi nikiendaga South Africa kama mwenyeji haji kunipokea ni bora nilale hoteli karibu na AIRPORT maana hao madreva TAXI ndo wezi wenyewe. Nilishawahi kukutana na mama Fulani hapo OR Tambo Int'l Airport ana mzinga wa Mta.ko anajidai ananijua eti naitwa ANTHONY kumbe ndo gia zao ukiingia lani kujidai kumtongoza utastukia asb umebaki na bukta tu