PreGE2025 Video, Musoma kwa kauli moja: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Linus w slaa

Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
67
Reaction score
151

Musoma wa Unga: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi​

Hali ya kisiasa Tanzania inazidi kuwa ya mvutano huku chama cha upinzani cha CHADEMA, hasa Musoma, Mara, kikichukua msimamo thabiti wa "No Reforms, No Elections." Kauli hii inamaanisha kwamba bila marekebisho ya katiba na sheria za uchaguzi, CHADEMA inapinga kushiriki uchaguzi wa 2025.

Hatar
 
Ongezeni kasi tu Makamanda, ikiwapendeza timu ziwe tatu(3) na mrudi Dar au muende Idodomia..
 
Habari njema kwa Watu wote

Musoma wa Unga: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi​

Hali ya kisiasa Tanzania inazidi kuwa ya mvutano huku chama cha upinzani cha CHADEMA, hasa Musoma, Mara, kikichukua msimamo thabiti wa "No Reforms, No Elections." Kauli hii inamaanisha kwamba bila marekebisho ya katiba na sheria za uchaguzi, CHADEMA inapinga kushiriki uchaguzi wa 2025.

Musoma wa Unga: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi​

Hali ya kisiasa Tanzania inazidi kuwa ya mvutano huku chama cha upinzani cha CHADEMA, hasa Musoma, Mara, kikichukua msimamo thabiti wa "No Reforms, No Elections." Kauli hii inamaanisha kwamba bila marekebisho ya katiba na sheria za uchaguzi, CHADEMA inapinga kushiriki uchaguzi wa 2025.

WanaJF, ni wakati muafaka Sasa wa kufanya maombi kwa ndg zetu wanachadema wa chadema chakavu; kiukweli wanachanganyikiwa.......mchanganyo unaongezeka siku baada ya siku.
 
Naipongeza Chadema kufanikiwa kufikisha wananchi 81 waliohudhuria mkutano wao.
 
Back
Top Bottom