Video mpya ya Shetta ya kerewa

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Msanii sheta ametoa video ya wimbo wake wa Kerewa.katika wimbo huo aliomshirikisha Diamond Platinumz na video yake kufanyika Afrika Kusini hakika wameitendea haki.

Wimbo mzuri sana na VIDEO yake nzuriiii sanaaa....big up Shetta

NB.Omy Dimpoz inabidi ujifunze hata kwa Sheta sio unatoa wimbo mbovu(ndagushima) na video ya kawaida sana...
 
Weka hiyo video humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…