poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Teh teh...Harmorapa now anasikika kuliko hata harmonize..
Sure..Yani huyu dogo now anatrend kuliko hata baadhi ya wasanii wakongwewalimchukulia poa kumbe dogo ana nyota yake flani hivi
Sure..Yani huyu dogo now anatrend kuliko hata baadhi ya wasanii wakongwe
Kuja vema ni kweli ila tatizo ana mianya meno yote afu hilo doomoo kama bakuli la supu. NILIJUA TU atatoboa na domo lake
Unamkosea Mungu ndugu.Kuja vema ni kweli ila tatizo ana mianya meno yote afu hilo doomoo kama bakuli la supu. NILIJUA TU atatoboa na domo lake