utandawazi
Member
- Oct 1, 2015
- 96
- 16
Video mpya ya mwanamuziki Belle 9 inayoitwa'shauri zao' imeanza kuonekana kimataifa kwa kuchezwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo cha trace tv cha afrika kusini. Hii ni furaha sana kwa belle 9 na wote wanaopenda muziki wetu. Video hii imetengenezwa na producer wa hapa nyumbani hanscana.